Wabunge wa Tanzania 2015

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum kwa wanawake na wabunge hadi 10 wanaoteuliwa na Rais na Bunge lenyewe.

Vyama bungeni tangu 2015

Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2015:

( "50%" inaonyesha idadi ya wabunge waliohitajika kuwa na kura nyingi kwa uhakika bungeni)
↓ 50%
188
1
1
32
34
Chama Cha Mapinduzi
A
N
CUF
CHADEMA

Wabunge wa Tanzania walioingia wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015


Maelezo zaidi Jina la mbunge, Jimbo ...
Jina la mbungeJimboChama cha kisiasa
Hamida Mohamedi AbdallahViti maalum vya wanawakeCCM
Maida Hamad AbdallahViti maalum vya wanawakeCCM
Rashid Ali AbdallahTumbeCUF
Bahati Ali AbeidMahonda[1]CCM
Abdulaziz Mohamed AboodMorogoro MjiniCCM
Khadija Hassan AboudViti maalum vya wanawakeCCM
Tulia AcksonUteuzi wa raisCCM
Lameck Okambo AiroRoryaCCM
Ajali Rashid AkibarNewala VijijiniCCM
Stella Ikupa AlexViti maalum vya wanawakeCCM
Abdallah Haji AliKiwaniCUF
Khamis Mtumwa AliKiwengwa[2]CCM
Jamal Kassim AliMagomeniCCM
Khadija Nassir AliViti maalum vya wanawakeCCM
Mbarouk Salim AliWeteCUF
Hussein Nassor AmarNyang'hwaleCCM
Wanu Hafidh AmeirBaraza la Wawakilishi wa ZanzibarCCM
Saul Henry AmonRungweCCM
Jumaa Hamidu AwesoPanganiCCM
Jaku Hashim AyoubBaraza la Wawakilishi wa ZanzibarCCM
Omary Ahmad BadwelBahiCCM
Faida Mohammed BakarViti maalum vya wanawakeCCM
Zainabu Mussa BakarViti maalum vya wanawakeChadema
Hussein Mohamed BasheNzega MjiniCCM
Innocent Lugha BashungwaKaragweCCM
Mbaraka Salim BawazirKilosaCCM
Kasuku Samson BilagoBuyunguChadema
Innocent Sebba BilakwateKyerwaCCM
Doto Mashaka BitekoBukombeCCM
Hamidu Hassan BobaliMchingaCUF
Jeremia Maselle BukwimbaBusandaCCM
Ester Amos BulayaBunda MjiniChadema
Abdallah Majurah BulemboUteuzi wa raisCCM
Halima Abdallah BulemboViti maalum vya wanawakeCCM
Jasmine Tiisekwa BungaVyuo VikuuCCM
Selemani Said BungaraKilwa KusiniCUF
Felister Aloyce BuraViti maalum vya wanawakeCCM
Jerome Dismas BwanausiLulindiCCM
Marwa Ryoba ChachaSerengetiChadema
Josephine Tabitha ChagullaViti maalum vya wanawakeCCM
Hawa Mchafu ChakomaViti maalum vya wanawakeCCM
Lathifah Hassan ChandeViti maalum vya wanawakeChadema
Mary Pius ChatandaKorogwe MjiniCCM
Raphael Masunga ChegeniBusegaCCM
Andrew John ChengeBariadiCCM
Sikudhani Yasini ChikamboViti maalum vya wanawakeCCM
Abdallah Dadi ChikotaNanyambaCCM
Rashid Mohamed ChuachuaMasasi MjiniCCM
Cosato David ChumiMafinga MjiniCCM
Mbaraka Kitwana DauMafiaCCM
David Mathayo DavidSame MagharibiCCM
Kiswaga Boniventura DesteryMaguCCM
Makame Mashaka FoumKijiniCCM
Leonidas Tutubert GamaSongea MjiniCCM
Alex Raphael GashazaNgaraCCM
Pauline Philipo GekulBabati MjiniChadema
Josephine Johnson GenzabukeViti maalum vya wanawakeCCM
Boniphace Mwita GetereBundaCCM
Hawa Abdulrahiman GhasiaMtwara VijijiniCCM
Anna Joram GidaryaViti maalum vya wanawakeChadema
Najma Murtaza GigaViti maalum vya wanawakeCCM
Khamis Said GulamaliManongaCCM
Othman Omar HajiGandoCUF
Khatib Said HajiKondeCUF
Haji Ameir HajiMakunduchiCCM
Mwantum Dau HajiViti maalum vya wanawakeCCM
Azza Hilal HamadViti maalum vya wanawakeCCM
Juma Kombo HamadWingwiCUF
Pascal Yohana HaongaMboziChadema
Japhet Ngailonga HasungaVwawaCCM
Joseph Leonard HauleMikumiChadema
John Wegesa HecheTarime VijijiniChadema
Juma Othman HijaTumbatuCCM
Aeshi Khalfan HilalySumbawanga MjiniCCM
Mansoor Shanif HiraniKwimbaCCM
Augustine Vuma HolleKasulu VijijiniCCM
Joram Ismael HongoliLupembeCCM
Yussuf Salim HusseinChambaniCUF
Hassanali Mohamedali IbrahimKiembesamakiCCM
Christine Gabriel IshengomaViti maalum vya wanawakeCCM
Khalifa Mohammed IssaMtambweCUF
Selemani Said JafoKisaraweCCM
Raphael Michael JapharyMoshi MjiniChadema
Asha Mshimba JechaViti maalum vya wanawakeCCM
Emmanuel Papian JohnKitetoCCM
Mwantakaje Haji JumaBububuCCM
Juma Ali JumaDimaniCCM
Asha Abdullah JumaViti maalum vya wanawakeCCM
Hamoud Abuu JumaaKibaha VijijiniCCM
Jaffar Sanya JussaPajeCCM
Ritta Enespher KabatiViti maalum vya wanawakeCCM
Risala Said KabongoViti maalum vya wanawakeChadema
Naghenjwa Livingstone KaboyokaSame MasharikiChadema
John Aidan Mwaluko KabudiUteuzi wa raisCCM
Mgeni Jadi KadikaViti maalum vya wanawakeCUF
John Peter KadutuUlyankuluCCM
Dalaly Peter KafumuIgungaCCM
Haji Khatib KaiMicheweniCUF
Angellah Jasmine Mbelwa KairukiViti maalum vya wanawakeCCM
Selemani Moshi KakosoMpanda VijijiniCCM
Joseph George KakundaSikongeCCM
Medard Matogolo KalemaniChatoCCM
Bonnah Moses KaluwaSegereaCCM
Diodorus Buberwa KamalaNkengeCCM
Vicky Paschal KamataViti maalum vya wanawakeCCM
Isack Aloyce KamwelweKataviCCM
Josephat Sinkamba KandegeKalamboCCM
Maria Ndilla KangoyeViti maalum vya wanawakeCCM
Constantine John KanyasuGeita MjiniCCM
Sebastian Simon KapufiMpanda MjiniCCM
Katani Ahmadi KataniTandahimbaCUF
Zainab Athman KatimbaViti maalum vya wanawakeCCM
Hassan Selemani KaunjeLindi MjiniCCM
Shukuru Jumanne KawambwaBagamoyoCCM
Ally Mohamed KeissyNkasi KaskaziniCCM
Sadifa Juma KhamisDonge[3]CCM
Ali Salim KhamisMwanakwerekweCUF
Yussuf Haji KhamisNungwiCUF
Fakharia Shomar KhamisViti maalum vya wanawakeCCM
Mohamed Juma KhatibChongaCUF
Munira Mustafa KhatibViti maalum vya wanawakeCCM
Aida Joseph KhenaniViti maalum vya wanawakeChadema
Omar Abdallah KigodaHandeni MjiniCCM
Mendard Lutengano KigolaMufindi KusiniCCM
Omari Mohamed KiguaKilindiCCM
Hamisi Andrea KigwangallaNzega VijijiniCCM
Ashatu Kachwamba KijajiKondoaCCM
Pudenciana Wilfred KikwembeKavuuCCM
Ridhiwani Jakaya KikweteChalinzeCCM
Elibariki Emmanuel KinguSingida MagharibiCCM
Mariamu Nassoro KisangiViti maalum vya wanawakeCCM
Jumanne Kibera KishimbaKahama MjiniCCM
Jesca David KishoaViti maalum vya wanawakeChadema
Dunstan Luka KitandulaMkingaCCM
Charles Muhangwa KitwangaMisungwiCCM
Allan Joseph KiulaIramba MasharikiCCM
Susan Limbweni KiwangaMlimbaChadema
Grace Sindato KiweluViti maalum vya wanawakeChadema
Silvestry Fransis KokaKibaha MjiniCCM
Susan Alphonce KolimbaViti maalum vya wanawakeCCM
Leah Jeremiah KomanyaViti maalum vya wanawakeCCM
Yosepher Ferdinand KombaViti maalum vya wanawakeChadema
Anthony Calist KomuMoshi VijijiniChadema
Kiteto Zawadi KoshumaViti maalum vya wanawakeCCM
Saed Ahmed KubeneaUbungoChadema
Zuberi Mohamedi KuchaukaLiwaleCUF
Rhoda Edward KunchelaKataviChadema
Elias John KwandikwaUshetuCCM
Julius Kalanga LaizerMonduliChadema
Godbless Jonathan LemaArusha MjiniChadema
Peter Ambrose LijualikaliKilomberoChadema
Tundu Antiphas LissuSingida MasharikiChadema
George Malima LubelejeMpwapwaCCM
Kangi Alphaxard LugolaMwibaraCCM
William Vangimembe LukuviIsmaniCCM
Riziki Saidi LulidaViti maalum vya wanawakeCUF
Anna Richard LupembeViti maalum vya wanawakeCCM
Livingstone Joseph LusindeMteraCCM
Wilfred Muganyizi LwakatareBukoba MjiniChadema
Gerson Hosea LwengeWanging'ombeCCM
Kemirembe Rose Julius LwotaViti maalum vya wanawakeCCM
Susan Anselm Jerome LyimoViti maalum vya wanawakeChadema
Hamadi Salim MaalimKojaniCUF
Amina Iddi MabroukBaraza la Wawakilishi wa ZanzibarCCM
Angeline Sylvester Lubala MabulaIlemelaCCM
Stanslaus Shingoma MabulaNyamaganaCCM
Elly Marko MachaViti maalum vya wanawakeChadema
Khamis Yahya MachanoChaaniCCM
Mwigulu Lameck Nchemba MadeluIramba MagharibiCCM
Lucy Simon MagereliViti maalum vya wanawakeChadema
Jumanne Abdallah MaghembeMwangaCCM
Catherine Valentine MagigeViti maalum vya wanawakeCCM
Ester Alexander MahaweViti maalum vya wanawakeCCM
Augustine Philip MahigaUteuzi wa raisCCM
Ezekiel Magolyo MaigeMsalalaCCM
Almas Athuman MaigeTabora KaskaziniCCM
Kunti Yusuph MajalaViti maalum vya wanawakeChadema
Kassim Majaliwa MajaliwaRuangwaCCM
January Yusuf MakambaBumbuliCCM
Salome Wycliffe MakambaShinyanga MjiniChadema
Yussuf Kaiza MakameChake ChakeCUF
Makame Kassim MakameMweraCCM
Ramo Matala MakaniTunduru KaskaziniCCM
Amina Nassoro MakilagiViti maalum vya wanawakeCCM
Hussein Ibrahim MakunguBaraza la Wawakilishi wa ZanzibarCCM
Tunza Issa MalapoViti maalum vya wanawakeChadema
Anne Kilango MalecelaUteuzi wa raisCCM
Angelina Adam MalembekaViti maalum vya wanawakeCCM
Ignas Aloyce MalochaKwelaCCM
Issa Ali Abbas MangunguMbagalaCCM
Stella Martin ManyanyaNyasaCCM
Vedastus Mathayo ManyinyiMusoma MjiniCCM
Sixtus Raphael MapundaMbinga MjiniCCM
Agnes Mathew MarwaViti maalum vya wanawakeCCM
Gimbi Dotto MasabaViti maalum vya wanawakeChadema
George Mcheche MasajuMwanasheria Mkuu(anaingia kikatiba kwa cheo chake)
Hassan Elias MasalaNachingweaCCM
Hamad Yussuf MasauniKikwajuniCCM
Augustino Manyanda MaseleMbogweCCM
Stephen Julius MaseleShinyanga MjiniCCM
Susanne Peter MaselleViti maalum vya wanawakeChadema
Ali Khamis MasoudMfenesiniCCM
Yahaya Omary MassareManyoni MagharibiCCM
Flatei Gregory MassayMbulu VijijiniCCM
Esther Nicholus MatikoTarime MjiniChadema
Aysharose Ndogholi MattembeViti maalum vya wanawakeCCM
Silafu Jumbe MaufiViti maalum vya wanawakeCCM
Antony Peter MavundeDodoma mjiniCCM
Lucy Thomas MayengaViti maalum vya wanawakeCCM
Makame Mnyaa MbarawaUteuzi wa raisCCM
Mussa Bakari MbaroukTanga MjiniCUF
James Fransis MbatiaVunjoNCCR-Mageuzi
Prosper Joseph MbenaMorogoro KusiniCCM
Janet Zebedayo MbeneIlejeCCM
Joseph Osmund MbilinyiMbeya MjiniChadema
Richard Phillip MbogoNsimboCCM
Taska Restituta MbogoViti maalum vya wanawakeCCM
Freeman Aikaeli MboweHaiChadema
Mwanne Ismail MchembaTabora MjiniCCM
Mohamed Omary MchengerwaRufijiCCM
Halima James MdeeKaweChadema
Gibson Blasius MeiseyekiArumeru-MagharibiChadema
Bhagwanji Maganlal MeisuriaChwakaCCM
Subira Khamis MgaluViti maalum vya wanawakeCCM
Neema William MgayaViti maalum vya wanawakeCCM
Godfrey William MgimwaKalengaCCM
Mahmoud Hassan MgimwaMufindi KaskaziniCCM
Suzana Chogisasi MgonukulimaViti maalum vya wanawakeChadema
Omary Tebweta MgumbaMorogoro Kusini MasharikiCCM
Joseph Kizito MhagamaMadabaCCM
Jenista Joackim MhagamaPeramihoCCM
Mboni Mohamed MhitaHandeni VijijiniCCM
Esther Lukago MidimuViti maalum vya wanawakeCCM
James Kinyasi MillyaSimanjiroChadema
Devotha Methew MinjaViti maalum vya wanawakeChadema
Desderius John MipataNkasi KusiniCCM
Nimrod Elirehemah MkonoButiamaCCM
George Huruma MkuchikaNewala MjiniCCM
Joseph Michael MkundiUkereweChadema
Saada Salum MkuyaWelezoCCM
Martha Moses MlataViti maalum vya wanawakeCCM
Goodluck Asaph MlingaUlangaCCM
Lucia Ursula Michael MloweViti maalum vya wanawakeChadema
Ester Michael MmasiViti maalum vya wanawakeCCM
John John MnyikaKibambaChadema
Twahir Awesu MohammedMkoaniCUF
Godwin Oloyce MollelSihaChadema
Amina Saleh Athuman MollelViti maalum vya wanawakeCCM
Ruth Hiyob MollelViti maalum vya wanawakeChadema
Daimu Iddi MpakateTunduru KusiniCCM
Philip Isdor MpangoUteuzi wa raisCCM
Luhaga Joelson MpinaKisesaCCM
Haji Hussein MpondaMalinyiCCM
Maryam Salum MsabahaViti maalum vya wanawakeChadema
Peter Simon MsigwaIringa MjiniChadema
Martin Alexander Mtonda MsuhaMbinga VijijiniCCM
Abdallah Ally MtoleaTemekeCUF
Daniel Edward MtukaManyoni MasharikiCCM
Maulid Said Abdallah MtuliaKinondoniCUF
Muhammed Amour MuhammedBumbwini[4]CUF
Sospeter Mwijarubi MuhongoMusoma VijijiniCCM
Joyce John MukyaViti maalum vya wanawakeChadema
Philipo Augustino MulugoSongweCCM
Mary Deo MuroViti maalum vya wanawakeChadema
Bernadeta Kasabago MushashuViti maalum vya wanawakeCCM
Mussa Hassan MussaAmaniCCM
Joseph Kasheku MusukumaGeitaCCM
Hawa Subira MwaifungaViti maalum vya wanawakeChadema
Joel Makanyaga MwakaChilonwaCCM
Sophia Hebron MwakagendaRungweChadema
Frank George MwakajokaTundumaChadema
Bupe Nelson Mwakang'ataViti maalum vya wanawakeCCM
Emmanuel Adamson MwakasakaTabora MjiniCCM
Atupele Fredy MwakibeteBusokeloCCM
Harrison George MwakyembeKyelaCCM
Ummy Ally MwalimuViti maalum vya wanawakeCCM
Edward Franz MwalongoNjombe MjiniCCM
Victor Kilasile MwambalaswaLupaCCM
Cecil David MwambeNdandaChadema
Venance Methusalah MwamotoKiloloCCM
Zainabu Nuhu MwamwindiViti maalum vya wanawakeCCM
Mary Machuche MwanjelwaMbeya MjiniCCM
Charles John MwijageMuleba KaskaziniCCM
Sudi Katunda MwilimaKigoma KusiniCCM
Abbas Ali MwinyiFuoniCCM
Hussein Ali MwinyiKwahaniCCM
Vedasto Edgar Ngombale MwiruKilwa KaskaziniCUF
Mariamu Ditopile MzuzuriIlalaCCM
Maftaha Abdallah NachumaMtwara MjiniCUF
Mary Michael NaguHanangCCM
Shamsi Vuai NahodhaKijitoupeleCCM
Onesmo Koimerek NangoleLongidoChadema
Joshua Samwel NassariArumeru-MasharikiChadema
Suleiman Masoud NchambiKishapuCCM
Mashimba Mashauri NdakiMaswa MagharibiCCM
Joyce Lazaro NdalichakoUteuzi wa raisCCM
Richard Mganga NdassaSumveCCM
Atashasta Justus NditiyeMuhambweCCM
Job Yustino NdugaiKongwaCCM
Faustine Engelbert NdugulileKigamboniCCM
Deogratias Francis NgalawaLudewaCCM
William Mganga NgelejaSengeremaCCM
Stephen Hillary NgonyaniKorogwe VijijiniCCM
Edwin Amandus NgonyaniNamtumboCCM
Jacqueline Kandidus NgonyaniViti maalum vya wanawakeCCM
Ahmed Juma NgwaliWawiCUF
Oran Manase NjezaMbeya VijijiniCCM
Juma Selemani NkamiaChembaCCM
Dua William NkuruaNanyumbuCCM
Nape Moses NnauyeMtamaCCM
Adamson Sigalla NormanMaketeCCM
Daniel Nicodemus NsanzugwakoKasulu MjiniCCM
Musa Rashid NtimiziIgalulaCCM
Lazaro Samuel NyalanduSingida KaskaziniCCM
Tauhida Cassian Galoss NyimboViti maalum vya wanawakeCCM
Stanslaus Haroon NyongoMaswa MasharikiCCM
Albert Ntabaliba ObamaBuhigweCCM
William Tate OlenashaNgorongoroCCM
Ali Hassan OmarJang'ombeCCM
Juma Hamad OmarOleCUF
Nassor Suleiman OmarZiwani[5]CUF
Rwegasira Mukasa OscarBiharamulo MagharibiCCM
Lucy Fidelis OwenyaViti maalum vya wanawakeChadema
Cecilia Daniel ParessoViti maalum vya wanawakeChadema
Issaay Zacharia PauloMbulu MjiniCCM
Upendo Furaha PenezaViti maalum vya wanawakeChadema
Haroon Mulla PirmohamedMbaraliCCM
Ussi Salum PondezaChumbuniCCM
Abdallah Saleh PossiUteuzi wa raisCCM
Willy Qulwi QambaloKaratuChadema
Adadi Mohamed RajabuMuhezaCCM
Shally Josepha RaymondViti maalum vya wanawakeCCM
Salum Mwinyi RehaniUziniCCM
Conchesta Leonce RwamlazaViti maalum vya wanawakeChadema
Jasson Samson RweikizaBukoba VijijiniCCM
Suleiman Ahmed SaddiqMvomeroCCM
Machano Othman SaidBaraza la Wawakilishi wa ZanzibarCCM
Magdalena Hamis SakayaKaliuaCUF
Zubeda Hassan SakuruViti maalum vya wanawakeChadema
Ally Abdulla Ally SalehMalindiCUF
Masoud Abdalla SalimMtambileCUF
Salum Khamis SalumMeatuCCM
Mattar Ali SalumShaurimoyoCCM
Ahmed Ally SalumSolwaCCM
Deo Kasenyenda SangaMakambakoCCM
Edwin Mgante SanndaKondoa MjiniCCM
Joseph Roman SelasiniRomboChadema
Immaculate Sware SemesiViti maalum vya wanawakeChadema
Oliver Daniel SemugurukaViti maalum vya wanawakeCCM
Peter Joseph SerukambaKigoma KaskaziniCCM
Ahmed Mabukhut ShabibyGairoCCM
Rashid Abdallah ShangaziMlaloCCM
Shabani Omari ShekilindiLushotoCCM
Juliana Daniel ShonzaViti maalum vya wanawakeCCM
Njalu Daudi SilangaItilimaCCM
David Ernest SilindeMombaChadema
Mussa Ramadhani SimaSingida MjiniCCM
Sophia Mattayo SimbaViti maalum vya wanawakeCCM
George Boniface SimbachaweneKibakweCCM
Margaret Simwanza SittaUramboCCM
Joyce Bitta SokombiViti maalum vya wanawakeChadema
Jitu Vrajlal SoniBabati VijijiniCCM
Rose Kamili SukumViti maalum vya wanawakeChadema
Ally Yusuf SuleimanMgogoniCUF
Khalifa Salum SuleimanTunguuCCM
Sabreena Hamza SunguraViti maalum vya wanawakeChadema
Hafidh Ali TahirDimaniCCM
Munde Abdallah TambweViti maalum vya wanawakeCCM
Grace Victor TendegaViti maalum vya wanawakeChadema
Anatropia Lwehikila TheonestViti maalum vya wanawakeChadema
Anna Kajumulo TibaijukaMuleba kusiniCCM
Charles John TizebaBuchosaCCM
Fatma Hassan ToufiqViti maalum vya wanawakeCCM
Salim Hassan TurkyMpendaeCCM
Rose Cyprian TweveViti maalum vya wanawakeCCM
Abdallah Hamis UlegaMkurangaCCM
Martha Jachi UmbullaViti maalum vya wanawakeCCM
Ally Seif UngandoKibitiCCM
Khamis Ali VuaiMkwajuniCCM
Zaynab Matitu VuluViti maalum vya wanawakeCCM
Mwita Mwikwabe WaitaraUkongaChadema
Anastazia James WamburaViti maalum vya wanawakeCCM
Selemani Jumanne ZediBukeneCCM
Kabwe Zuberi Ruyagwa ZittoKigoma MjiniACT
Azzan Mussa ZunguIlalaCCM
Funga

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.