Cecilia Daniel Paresso
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cecilia Daniel Paresso (amezaliwa tarehe 22 Novemba 1981) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA . Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.