David Ernest Silinde
From Wikipedia, the free encyclopedia
David Ernest Silinde (amezaliwa tar. 28 Julai 1984) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Momba kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.