Angelina Adam Malembeka
mwanasiasa wa tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Angelina Adam Malembeka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.