Edwin Mgante Sannda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Edwin Mgante Sannda ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kondoa Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.