John Peter Kadutu
From Wikipedia, the free encyclopedia
John Peter Kadutu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ulyankulu kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Ameteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Big Stars Football Club Ilihifadhiwa 1 Julai 2023 kwenye Wayback Machine. kuwa Kaimu Ofisi Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu yenye maskani yake mkoani Singida, Tanzania.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.