Upendo Furaha Peneza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alipohamia kutoka chama cha kisiasa cha CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la 11.[2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.