Peter Simon Msigwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Peter Simon Msigwa Amezaliwa 8 Juni 1965 ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Iringa Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.