Rashid Ali Abdallah
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rashid Ali Abdallah (amezaliwa 2 Desemba 1959) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tumbe kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.