Deogratias Francis Ngalawa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Deogratias Francis Ngalawa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ludewa kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.