Bukombe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bukombe

Bukombe ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Bukombe katika Mkoa wa Geita (Tanzania).

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Bukombe
Thumb
Bukombe

Mahali pa Bukombe katika Tanzania

Majiranukta: 3°30′43″S 32°2′35″E
Nchi Tanzania
Mkoa Geita
Wilaya Bukombe
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 18,302
Funga
Thumb
Ramani inayoonyesha eneo la Wilaya ya Bukombe ndani ya Mkoa wa Geita

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 18,302 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,706 waishio humo. [2] Msimbo wa posta ni 30501.[3]

Uchumi wa Bukombe unategemea hasa uchimbaji wa madini.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.