Majiranukta

From Wikipedia, the free encyclopedia

Majiranukta

Majiranukta (pia: mfumo majiranukta) ni mbinu ya hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba.

Thumb
Mfumo majira wa kawaida.

Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya nukta katika ubapa.

Nafasi zote zinapangwa kwa njia ya majira (majiranukta) 2 yanaoitwa

  • jira-x jiramlalo
  • jira-y au jirawima

Majiranukta hupatikana kwa kueleza mistari miwili sulubi, moja ukipita kwenye jira-y na mwingine kwenye jira-x. Inapokutana ni nafasi ya nukta inayoelezwa.

Majiranukta kama anwani ya kijiografia

Mfumo wa majiranukta hutumiwa kutaja mahali duniani kwa kutumia longitudo na latitudo.

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Majiranukta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.