Khadija Nassir Ali
Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Khadija Nassir Ali (amezaliwa tarehe 28 Juni 1990) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu vya Wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1] Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.