tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 28 Juni ni siku ya 179 ya mwaka (ya 180 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 186.
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za Mtakatifu Ireneo, Plutarko, Potamiena na wenzao, Papa Paulo I, Argimiro, Heimo, Yohane Southworth, Vinchensya Gerosa, Lusia Wang Cheng, Maria Fan Kun, Maria Qi Yu, Maria Zheng Xu, Maria Du Zhauzhi n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.