From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi ni mchakato wa kumteua mtu kwa nafasi maalumu katika jamii, hasa cheo na majukumu yanayotokana nacho.
Uchaguzi hufanyika kwa nafasi za uongozi au nafasi za mamlaka fulani. Uchaguzi hutokea mara nyingi kwa njia ya kupiga kura kwa wenye haki ya kura.
Katika chama, jumuiya binafsi au klabu ni wanachama wanaopigia kura kamati ya uongozi, mwenyekiti na maafisa wengine.
Katika shirika za hisa ni wenye hisa wanaopigia kura uongozi.
Katika dola ni raia au wawakilishi wao wanaochagua. Hapa kuna mbinu tofauti kufuatana na katiba ya nchi.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.