tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 25 Juni ni siku ya 176 ya mwaka (ya 177 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 189.
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Torino, Prospa wa Akwitania, Prospa wa Reggio, Tigre, Moluag, Eurosia wa Jaca, Adalberto wa Egmond, Solomoni wa Bretagne, Wiliamu wa Vercelli, Dominiko Henares, Fransisko Do Minh Chieu n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.