Remove ads
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 3 Juni ni siku ya 154 ya mwaka (ya 155 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 211.
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Karolo Lwanga na wenzake, Sesili wa Karthago, Hilari wa Carcassonne, Klotilda malkia, Lifardi, Oliva wa Anagni, Kevin wa Glendalough, Jenesi wa Clermont, Isaka wa Cordoba, Davini wa Lucca, Morandi wa Cluny, Kono wa Diano, Yohane Grande, Petro Dong n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.