From Wikipedia, the free encyclopedia
Otto Loewi (3 Juni 1873 – 25 Desemba 1961) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza mawasiliano katika neva. Mwaka wa 1936, pamoja na Henry Dale alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Otto Loewi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.