George Mcheche Masaju
From Wikipedia, the free encyclopedia
George Mcheche Masaju ni mwanasheria wa nchini Tanzania. Mwaka 2015 aliteuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa Mwanasheria Mkuu wa nchi akaendelea katika nafasi hii baada ya kuingia kwa raisi mpya John Magufuli.[1][2]
Masaju alikuwa mshauri wa kisheria katika ofisi ya raisi kabla ya kuwa naibu mwanasheria mkuu mwaka 2009. [3] . Kutoka hapo alipanda cheo baada ya kujiuzulu kwa mwanasharia mkuu aliyetangulia.
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.