Ashatu Kachwamba Kijaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ashatu Kachwamba Kijaji (amezaliwa 26 Aprili 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kondoa kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.