Wilaya ya Temeke

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wilaya ya Temeke

Wilaya ya Temeke ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania yenye postikodi namba 15000.

Thumb
Mahali pa Temeke (kijani cheusi) katika mkoa wa Dar es Salaam.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1,368,881 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 1,346,674 [2].

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.