Victor Kilasile Mwambalaswa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Victor Kilasile Mwambalaswa (amezaliwa tar. 8 Mei 1953) ni mbunge wa jimbo la Lupa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.