Tauhida Cassian Galoss Nyimbo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tauhida Cassian Galoss Nyimbo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.