Ali Salim Khamis

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ally Salim Khamis (alizaliwa 30 machi 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Wananchi (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mwanakwerekwe kwa miaka 20152020.[1] [2]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.