Khalifa Mohammed Issa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Khalifa Mohammed Issa (amezaliwa 24 Novemba 1959) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mtambwe kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.