Atupele Fredy Mwakibete
From Wikipedia, the free encyclopedia
Atupele Fredy Mwakibete ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Busokelo kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.