Maulid Said Abdallah Mtulia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Maulid Said Abdallah Mtulia ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kinondoni kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.