Liwale
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Liwale ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 75,546 .
Wenyeji wa sehemu hii ni hasa Wangindo.
Wakati wa ukoloni wa Kijerumani Liwale ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Kilwa. Liwali kulikuwa na boma ikiwa mahali pa ofisi ndogo (jer. Bezirksnebenstelle) ya Mkoa wa Kilwa. Boma la kwanza lilishambuliwa na kuharibika wakati wa vita ya Majimaji. Barabara ya kwanza ilijengwa wakati wa Wajerumani ikaunganisha Liwali na Kilwa,
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.