Kasuku Samson Bilago
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kasuku Samson Bilago (2 Februari 1964 - 26 Mei 2018) alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Alichaguliwa kuwa mbunge wa Buyungu (wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma) kwa mwaka 2015 – 2020 lakini hakuweza kumaliza muda wake.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.