Khatib Said Haji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Khatib Said Haji (amezaliwa 31 Julai 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bunda kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.