Flatei Gregory Massay
From Wikipedia, the free encyclopedia
Flatei Gregory Massay (alizaliwa 1 Novemba 1972[1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbulu Vijijini kwa miaka mitano (2015 – 2020) [2].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.