Yussuf Haji Khamis
Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Yussuf Haji Khamis (amezaliwa 23 Septemba 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nungwi kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.