Emmanuel Adamson Mwakasaka

From Wikipedia, the free encyclopedia

Emmanuel Adamson Mwakasaka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tabora Mjini kwa miaka 20152020. [1] Pia ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. Amehitimu shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.