Ethiopia
nchi katika Afrika Mashariki / From Wikipedia, the free encyclopedia
Ethiopia au Uhabeshi (Kiamhara: ኢትዮጵያ Ityopp'ya) ni nchi ya Afrika ya Mashariki iliyoko kwenye Pembe ya Afrika.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: {{{national_anthem}}} | |||||
[[Image:{{{image_map}}}|250px|Lokeshen ya {{{common_name}}}]] | |||||
Mji mkuu | {{{capital}}} 9°1′ N 38°45′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | {{{largest_city}}} | ||||
Lugha rasmi | {{{official_languages}}} | ||||
Serikali {{{leader_titles}}} |
{{{government_type}}} {{{leader_names}}} | ||||
{{{sovereignty_type}}} {{{established_events}}} |
{{{established_dates}}} | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
[[{{{area_magnitude}}} m²|{{{area}}} km²]] ({{{area_rank}}}) {{{percent_water}}} | ||||
Idadi ya watu - [[{{{population_estimate_year}}}]] kadirio - Msongamano wa watu |
{{{population_estimate}}} ({{{population_estimate_rank}}}) {{{population_density}}}/km² ({{{population_density_rank}}}) | ||||
Fedha | {{{currency}}} ({{{currency_code}}} ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
{{{time_zone}}} (UTC{{{utc_offset}}}) {{{time_zone_DST}}} (UTC{{{utc_offset_DST}}}) | ||||
Intaneti TLD | {{{cctld}}} | ||||
Kodi ya simu | +{{{calling_code}}}
- |
Funga
Nchi zinazopakana na Ethiopia ni Sudan na Sudan Kusini upande wa magharibi, Eritrea na Jibuti kaskazini, Somalia mashariki na Kenya upande wa kusini.
Ni nchi ambayo ina historia ya pekee Afrika na hata duniani kwa ujumla.
Ethiopia ni moja ya nchi mbili za Afrika ambazo hazikutawaliwa na wakoloni wakati walipong’ang’ania Afrika. Nchi nyingine ni Liberia. Kabla ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia Ethiopia ilivamiwa na Waitalia (1936) lakini ilipata uhuru wake tena baada ya miaka michache.