Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bara Hindi (Kiing. Indian subcontinent) ni eneo kubwa la Asia kusini kwa milima ya Himalaya lenye kilomita za mraba milioni 4.5. Eneo hili huitwa pia mara nyingi "Asia ya Kusini".
Inaingia ndani ya bahari Hindi kama rasi kubwa sana lenye umbo la pembetatu.
Nchi zifuatazo ni sehemu za Bara Hindi:
Pia kuna nchi zifuatazo katika visiwa vya jirani:
Kijiografia kuna sehemu tatu:
Kijiolojia Bara Hindi si sehemu ya Asia. Inakaa juu ya Bamba la Uhindi ambalo ni bamba la gandunia lililokuwa kama kisiwa kikubwa ndani ya Bahari Hindi hadi kujisukuma dhidi ya Bamba la Asia takriban miaka milioni 10 iliyopita. Mshtuko wa mgongano huu ulisababisha kukunja kwa ganda la dunia na kutokea kwa nyororo za milima ya Himalaya ambayo inazidi kurefuka kidogokidogo kila mwaka.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bara Hindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.