Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sri Lanka (pia Sirilanka, kwa Kisinhala Śrī Laṃkāva, kwa Kitamil Ilaṅkai; hadi mwaka 1972: Ceylon) ni nchi ya kisiwani katika Asia ya Kusini.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Sri Lanka Matha (Sri Lanka Mama) | |||||
Mji mkuu | Sri Jayawardenapura | ||||
Mji mkubwa nchini | Colombo | ||||
Lugha rasmi | Kisinhala, Kitamil | ||||
Serikali | Jamhuri Ranil Wickremesinghe Dinesh Gunawardena | ||||
Uhuru kutoka Uingereza |
ilikubaliwa 4 Februari 1948 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
65,610 km² (ya 122) 4.4 | ||||
Idadi ya watu - 2020 kadirio - 2012 sensa - Msongamano wa watu |
22,156,000 (ya 57) 20,277,597 337.7/km² (ya 24) | ||||
Fedha | Rupia ya Sri Lanka (LKR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+5:30) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .lk | ||||
Kodi ya simu | +94
- |
Iko karibu na ncha ya kusini ya rasi ya Uhindi katika Bahari Hindi.
Nchi imekaliwa na watu walau kuanzia miaka ya 125,000 KK na ilizidi kupata umuhimu kutokana na mahali ilipo.
Sri Lanka ina mikoa 9:
Mikoa hiyo imegawanyika katika wilaya 25.
Idadi ya wakazi ni takriban milioni 22 (2020).
Walio wengi (74.9%) ni Wasinhala ambao kwa kawaida ni wafuasi wa Ubuddha wa madhehebu ya Theravada (70.2%). Takriban 11.2% ni Watamili ambao wengi wao ni Wahindu (12.6%) na wanaishi hasa kaskazini mwa kisiwa.
Lugha zao, Kisnhala na Kitamil ni lugha rasmi. Pia Kiingereza kinatambulika.
Kuna Wamori Waislamu (9.7%, hasa Wasuni) ambao wengi wao wanajiona machotara wa Kiarabu.
Pia kuna Wakristo (7.4%, hasa Wakatoliki 5.8%, halafu Waanglikana na Waprotestanti wengine) ambao vilevile baadhi yao ni machotara wa Kizungu (hasa wa Kireno na wa Kiholanzi).
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sri Lanka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.