Maldivi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Maldivi ni nchi huru kwenye funguvisiwa la Maldivi katika Bahari Hindi kuanzia tarehe 26 Julai 1965.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Gavmii mi ekuverikan matii tibegen kuriime salaam "Twasalimu taifa letu kwa umoja" | |||||
Mji mkuu | Malé | ||||
Mji mkubwa nchini | Malé | ||||
Lugha rasmi | Kidhivehi, Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri Mohamed Muizzu | ||||
Uhuru kutoka Uingereza |
26 Julai 1965 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
298 km² (ya 187) -- | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2022 sensa - Msongamano wa watu |
(ya 1671) 515,132 1,728.63/km² (ya 7) | ||||
Fedha | Rufiyaa (MVR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+5) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .mv | ||||
Kodi ya simu | +960
- | ||||
1 Makadirio ya UM ya 2005. |
Kabla ya hapo ilikuwa chini ya ulinzi wa Uingereza tangu mwaka 1887.
Iko km 700 kusini - magharibi kwa Sri Lanka.
Kwa jumla kuna visiwa 1,196 na kati ya hivyo takriban 200 hukaliwa na watu.
Hakuna uhakika juu ya maana ya asili ya jina lenyewe.
Wakazi karibu wote (98.7%) ni Waislamu, hasa Wasuni; ya kwao ndiyo dini rasmi na ya lazima kwa raia wote. Wakristo ni 0.29% (nusu Wakatoliki na nusu Waprotestanti).
Lugha ya kawaida na lugha rasmi ni Kidhivehi, mojawapo ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Maldivi iko hatarini kupotea. Ni kwamba kimo cha juu cha nchi yake ni mita 5.1 pekee juu ya uwiano wa bahari, na wastani wake ni mita 1.5 tu. Hivyo, kama mabadiliko ya hali ya hewa kutokana kwa kupanda kwa halijoto duniani yatazidi kuleta kupanda kwa uwiano wa bahari, nchi hii yote itazama chini ya maji.
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maldivi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.