Madaraka ni uwezo ambao mtu hupewa ili kuongoza kundi fulani la watu. Madaraka hayo huweza kufikia kuwa ya kuongoza kundi kubwa la watu au hata nchi nzima.Uongozi unaweza kuwa ni wa mtu mmoja mmoja au wa kundi kubwa la watu.

Thumb
Ni moja wa viongozi wanaoshika madaraka yao vizuri

Madaraka hutolewa kwa njia mbili ambazo ni kuteuliwa au kuchaguliwa. Uongozi wa kuchaguliwa hupatikana kwa kupiga kura huku uongozi wa kuteuliwa ukipatikana kwa kuteuliwa.

Faida za uongozi

  • Husaidia kufanya kazi kwa ufanisi kwasababu kiongozi anakuwa chini ya mamlaka.
  • Husaidia kufanya kazi kwa umoja na kwa urahisi.

Sifa za kiongozi bora

  • Huwa mchapa kazi.
  • Huwa mkweli.
  • Huwa mwaminifu.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.