Nyanda za juu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nyanda za juu

Nyanda za juu ni maeneo yaliyoinuliwa juu[1] , ama juu ya maeneo yaliyo jirani au kwa kiwango fulani juu ya usawa wa bahari. Kimataifa hakuna ufafanuzi makini ya istilahi hii[2].

Thumb
Nyanda za juu (rangi za kahawia) na nyanda za chini (rangi ya kibichi) nchini Tanzania

Mara nyingi inataja milima midogo au pia tambarare iliyopo mnamo mita 500 juu ya usawa wa bahari; wakati mwingine milima ya juu zaidi huhesabiwa humo, wakati mwingine inatofautishwa na nyanda za juu.

Mifano ya nyanda za juu:

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.