Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ethiopian Airlines ni kampuni ya ndege iliyo na makao yake makuu kwenye uwanja wa ndege wa Bole mjini Addis Ababa.[2]
| ||||
Kimeanzishwa | 1945 | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu | Bole International Airport | |||
Programu kwa wateja wa mara kwa mara | Sheba Miles | |||
Ndege zake | 45 (+39 orders) | |||
Shabaha | 74(57 international and 17 domestic) [1] | |||
Nembo | Africa's World Class Airline | |||
Makao makuu | Bole International Airport Addis Ababa, Ethiopia | |||
Watu wakuu | Mesfin Tasew Bekele (Chairman), Girma Wake (CEO) | |||
Tovuti | www.ethiopianairlines.com |
Ndiyo kuu nchini Ethiopia, ikisafirisha hadi zaidi ya miji 50 kote duniani.
Ethiopian Airlines ilianzishwa na Haile Selassie mnamo 29 Desemba 1945. Ingawa ilitegemea rubani na wafanyakazi wa kutoka Marekani, baada ya miaka 25 ilianza kuajiri wafanyakazi wa kutoka Ethiopia.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.