Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Halifax ndio mji mkuu wa jimbo la Nova Scotia nchini Kanada.
Halifax | |
Nchi | Kanada |
---|---|
Jimbo | Nova Scotia |
Wilaya | Halifax Regional Municipality |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 282,924 |
Tovuti: www.halifax.ca |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 407,000 wanaoishi katika humo.
Mji upo mita 0-145 juu ya usawa wa bahari.
Halifax ina jamii mbalimbali za kimataifa: Lugha kuu ni Kiingereza, kikifuatwa na Kifaransa.
Upande wa dini, karibu 3/4 ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Halifax, Nova Scotia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.