Mtumiaji:Kipala/Astropics
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ukurasa huu unaonyesha picha zote zinazopendekezwa kwa Kamusi ya Astronomia. Picha ziko hapa kwa upana wa 450px. Kwa mwonekano tofauti nenda hapa: Mtumiaji:Kipala/Astropics350
- Jina la makala husika
- Maelezo ya picha jinsi yanavyoweze kuonekana chini ya picha
- chanzo ya picha & laiseni ya hatimiliki
(Vifupi ya maelezo kuhusu vyanzo na hatimiliki vinaweza kutajwa kw jumla)
- Afeli
1. Sayari kwenye afeli yake 2. Sayari kwenye periheli yake 3. Jua (Pearson Scott Foresman © PD) - Angahewa
Tabaka za angahewa ya Dunia (Niko Lang © CC BY-SA 3.0 ) - Apollo 11
Apollo-11: safari ya kwanza iliyofika mwezini mwaka 1969 (Neil A. Armstrong © PD-NASA) - Arinabu (kundinyota)
Kundinyota Arinabu (Lepus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Asteroidi
253 Mathilde ni asteroidi yenye vipimo vya km 66×48×46 (NASA © PD) - Bakari (kundinyota)
kundinyota Bakari (Bootes) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825]) - Batiya (kundinyota)
Nyota za kundinyota Batiya (Crater) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Bikari (kundinyota)
Nyota za kundinyota Bikari (Circinus ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Ceres
Ceres (Sayari kibete) ilivyopigwa picha na kipimaanga "Dawn" (NASA © PD) - Chombo cha anga-nje
Feri ya anga-nje Atlantis pamoja na kituo cha anga-nje MIR (NASA © PD-NASA) - Dajaja (kundinyota)
Kundinyota Dajaja (Cygnus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Dalufnin (kundinyota)
Kundinyota Dalufnin (Delphinus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Darubini 1
Darubinilenzi, Vienna (Prof. Franz Kerschbaum, Institut für Astronomie, Universität Wien © CC BY-SA 3.0 Unported) - Darubini 2
Darubini redio, Kitt Peak, Arizona, USA. (Jeff Mangum, NRAO © GNU 1.2) - Darubini (kundinyota)
Kundinyota Darubini (Telescopium) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Dhibu (kundinyota)
Kundinyota Dhibu (Lupus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Dira (kundinyota)
Kundinyota Dira (Pyxis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Dubu Mdogo (kundinyota)
Nyota za kundinyota Dubu Mdogo (Ursa Minor) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg)) - Dubu Mkubwa (kundinyota)
Kundinyota Dubu Mkubwa (Ursa Major) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Dunia
Picha maarufu ya Sayari Dunia iliyopigwa Desemba 7, 1972 na kikosi cha wanaanga wa Apollo 17. (Apollo 17 © PD) - Ekliptiki
Obiti za sayari zote ziko kwenye bapa la ekliptiki, isipokuwa obiti ya Pluto imenama. (NikoLang © CC BY-SA 4.0 ) - Farasi (kundinyota)
Kundinyota Farasi (Pegasus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Farisi (kundinyota)
Kundinyota Farisi (Perseus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Fungunyota
Fungunyota tufe ya Messier2 (NASA © PD) - Galaksi
Galaksi NGC 6814 inaonyesha umbo la parafujo (ESA/Hubble & NASA Acknowledgement: Judy Schmidt (Geckzilla) © PD) - Galaksi ya Andromeda
Galaksi ya Andromeda (NASA © PD) - Galileo Galilei
Galileo alivyoonyesha miezi ya Mshtarii kwa viongozi wa Venisi, Italia (Louis_Figuier © PD) - Ghurabu (kundinyota)
Kundinyota ya Ghurabu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Globu ya nyota
Globu ya nyota ya Kiajemi mnamo 1750 (CC-BY-SA 4.0 © Muhammadahmad79 ) - Hadubini (kundinyota)
Kundinyota Hadubini (Microscopium) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Hawaa (kundinyota)
Kundinyota Hawaa (Ophiuchus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Hayya (kundinyota)
Ramani ya kundinyota Serpens au Hayya (CC BY-SA 3.0 © © 2003 Torsten Bronger) - Hudhi (kundinyota)
Kundinyota Hudhi (Auriga) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Hutu Junubi (kundinyota)
Kundinyota Hutu Junubi (Piscis Austrinus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Jabari (kundinyota)
Kundinyota Jabari (Orion) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Jitu jekundu
Nyota jitu jekundu Dabarani, ikilinganishwa na Jua (Mysid © PD) - Johannes Kepler
Taswira ya Kepler (1610) (mchoraji hajulikani) © PD) - Jua
Muundo wa Jua (HeNRyKus © PD) - Kaa (kundinyota)
Nyota za Kaa, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD) - Kantarusi (kundinyota)
IAU Centaurus chart (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825]) - Kasi ya Masakini (kundinyota)
Kundinyota Kasi ya Masakini (Corona Borealis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Kasoko
Barringer Meteor Crater, Marekani (D. Roddy, U.S. Geological Survey © PD) - Ketusi (kundinyota)
Kundinyota Ketusi (Cetus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Kifausi (kundinyota)
Kundinyota Kifausi (Cepheus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Kilimia
Kilimia kinaonekana kama fungu la nyota angavu (Gonzalo Vicino © ) - Kimondo
Vimondo vinavyong'aa angani; picha imechukuliwa kwa kufungua lenzi ya kamera kwa muda wa dakika kadhaa. Mistari mirefu ni njia za vimondo viliivyowaka katika kipindi hiki. (NASA © PD) - Kimondo cha Mbozi
Kimondo cha Mbozi (Gunnar Ries © CC BY-SA 2.0) - Kinyonga (kundinyota)
Kundinyota Kinyonga (Chamaeleon (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Kituo cha Anga cha Kimataifa
Kituo cha Anga cha Kimataifa (NASA/Crew of STS-132 © PD-NASA) - Kizio astronomia
Umbali wa Dunia hadi Jua ni kizio kimoja cha astronomia (https://commons.wikimedia.org/wiki/File:Kizio_astronomia.png © CC BY-SA 4.0) - Kobe (kundinyota)
Kundinyota Kobe (Corona Australis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Kondoo (kundinyota)
Nyota za Kondoo, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Nzi - Musca) (Sidney Hall 1825 © PD) - kundinyota 1
Nyota za Jabari (Günter Seggebäing, Coesfeld © ) - kundinyota 2
Nyota za Jabari zikiunganishwa na mistari (JA Galán Baho © ) - kundinyota 3
Picha ya Jabari baada ya kuunganisha nyota zake na kumwaza mtu (PD) - Kupatwa kwa Jua
Aina mbili za kivuli wakati wa Kupatwa kwa Jua (Fastfission © PD) - Kupatwa kwa Mwezi
Mwezi huonekana mwekundu wakati wa kupatwa (Oliver Stein © CC BY-SA 3.0) - Kuruki (kundinyota)
Kundinyota Kuruki (Grus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Madhabahu (kundinyota)
Nyota za kundinyota Madhabahu (Ara) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mae Jemison
Mae Jamison, Mwamerika Mweusi alirushwa angani 1992 (NASA © PD-NASA) - Mapacha
Nyota za Mapacha, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD) - Mara (kundinyota)
Kundinyota ya Mara (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mark Shuttleworth
Mark Shuttleworth kutoka Afrika Kusini kwenye ISS mwaka 2002 (NASA © PD-NASA) - Mashuke (kundinyota)
Nyota za Mashuke, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD) - Mawingu ya Magellan
Mawingu ya Magellan (kushoto chini), pamoja na Njia Nyeupe (P. Horálek/ESO © ) - Mbuzi (kundinyota)
Nyota za Mbuzi, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD) - Mbwa Mdogo (kundinyota)
Kundinyota Mbwa Mdogo (Canis Minor) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mbwa Mkubwa (kundinyota)
Kundinyota Mbwa Mkubwa (Canis Major) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mbwa wawindaji (kundinyota)
Kundinyota Simba Mdogo na Mbwa Wavindaji ( Leo Minor / Canes Venatici) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mbweha (kundinyota)
Kundinyota Mbweha (Vulpecula) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mchoraji (kundinyota)
Kundinyota Mchoraji (Pictor) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Meza (kundinyota)
Kundinyota ya Mesa (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mfumo wa Jua
Mfumo wa Jua (Source http://www.cbc.ca/kidscbc2/the-feed/exploring-planet-ceres, Author https://www.flickr.com/photos/11304375@N07/2818891443) - Mhindi (kundinyota)
Kundinyota Mhindi (Indus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mirihi
picha ya Mirihi kama ilivyochukuliwa na darubini ya anga-nje Hubble (NASA and The Hubble Heritage Team (STScI/AURA) PD © PD) - Mirihi uso
Uso wa Mirihi ni jangwa (Van der Hoorn, NASA © PD) - Mizani (kundinyota)
Nyota za Mizani, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD) - Mjusi (kundinyota)
Kundinyota Mjusi (Lacerta) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mke wa Kurusi (kundinyota)
Nyota za kundinyota Mke wa Kurusi (Cassiopeia) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825]) - Mkuku (kundinyota)
Kundinyota Mkuku (Carina) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mlipuko Mkuu
Upanuzi wa ulimwengu tangu mlipuko mkuu (Gnixon © PD) - Mng'aro wa Jua
Uhusiano baina joto kwenye uso wa nyota na mng'aro wake (European Southern Observatory (ESO) © CC BY-SA 4.0 ) - Mshale (kundinyota)
Nyota za Mshale, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Darubini na Hadubini) (Sidney Hall 1825 © PD) - Mshtarii
picha ya mshtarii kama ilivyopigwa na chombo cassin (NASA/JPL/Space Science Institute PD © PD) - Mshtarii
Mshatarii na moja ya miezi yake (NASA/JPL PD © PD) - Munukero (kundinyota)
Kundinyota Munukeru (Monoceros) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mwanaanga
Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha space shuttle tar. 12 Juni 2006 (NASA, Astronaut Michael Edward Fossum © PD-NASA) - Mwanafarasi (kundinyota)
Nyota za kundinyota Mwanafarasi (Equuleus ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Mwezi
Uso wa Mwezi unajaa kasoko (阿爾特斯 , © CC BY-SA 3.0) - Mwezi mwandamo
Awamu za mwezi kuanzia mwezi mwandamo (1) kupitia hilali (2), robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, mwezi mpevu (5) hadi mwezi mwandamo tena (Pamplelune © CC BY-SA 3.0) - Nahari (kundinyota)
Kundinyota Nahari (Eridanus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Najari (kundinyota)
Nyota za kundinyota Najari (Sculptor) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825]) - NASA
Nembo ya NASA (NASA © PD-NASA) - Ndege wa Peponi (kundinyota)
Kundinyota ya Ndege wa Pepeoni (Apus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Ndoo
( © ) - Neil Armstrong
Neil Armstrong, mtu wa kwanza Mwezini (NASA / Edwin E. Aldrin, Jr. © PD-NASA) - Neptuni
Sayari Neptuni (Neptune) inavyoonekana na Voyager 2 (Kevin Gill from Los Angeles, CA, United States [CC BY-SA 2.0 (https://creativecommons.org/licenses/by-sa/2.0)] © CC BY-SA 2.0) - Ngao (kundinyota)
Kundinyota Ngao (Scutum) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Nge (kundinyota)
Nyota za Nge, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD) - Ng'ombe (kundinyota)
(Picha ya Ngombe kwenye kitabu cha Abd al-Rahman al-Sufi (903–986) © CC BY-SA 2.0 Generic) - Njia Nyeupe
Njia Nyeupe inaonekana vema pasipo na mianga duniani juu ya paoneanga ya ESO, Chile (ESO/S. Brunier © CC BY-SA 4.0 ) - Njiwa (kundinyota)
Nyota za kundinyota Njiwa (Columba) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Nukta msawazo
Nukta msawazo 1-5 (EnEdC © CC BY-SA 3.0) - Nyavu (kundinyota)
Kundinyota Nyavu (Reticulum) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Nyoka Maji (kundinyota)
Nyota za kundinyota Nyoka Maji (Hydrus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Nyota nova
Mabaki ya wingu linaloendelea kupanuka tangu nyota GK Persei Farisi ilitazamiwa kuwaka kama nova mwaka 1902; picha ilipatikana kwa kuunganisha picha zilizopigwa katika upeo wa eksirei (buluu), nuru (njano) na wimbiredio (nyekundu); (X-ray: NASA/CXC/RIKEN/D.Takei et al; Optical: NASA/STScI; Radio: NRAO/VLA © PD) - Nyotamkia
Njia ya nyotamkia ikizunguka jua. Mkia huelekea mbali na jua kila wakati. (NASA © PD) - Nyotamkia ya Halley
Nyotamkia ya Halley mnamo 8 Machi 1986 kwa darubini (safari iliyopita ilipofikia periheli na kuwa karibu na Dunia). (NASA/W. Liller © PD) - Nywele za Berenike (kundinyota)
Kundinyota Nywele za Berenike (Coma Berenices) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Nzi (kundinyota)
Kundinyota Nzi (Musca) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0) - Obiti
"Obiti ya gimba dogo (kama satelaiti au mwezi) linalozunguka gimba kubwa (kama sayari); ( © CC BY-SA 4.0 ) - Obiti, Mzinga wa Newton
Mfano wa "Mzinga wa Newton": kani ya velositi ""v"" inataka kulipeleka mbele mbali na mahali pake; kani ya graviti ""a"" inalivuta kuelekea gimba kubwa; tokeo lake ni obiti ya kuzunguka." (Brian Brondel © CC BY-SA 3.0) - Pampu (kundinyota)
Kundinyota ya Pampu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Paoneaanga
Paoneanga pa La Silla, Chile; kila jengo huwa na darubini kubwa (Hernan Fernandez Retamal, © ) - Panji (kundinyota)
Kundinyota Panji (Dorado) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Panzimaji (kundinyota)
Kundinyota Panzimaji (Volans) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Paoneaanga
Paoneanga huwa mara nyini na kuba juu ya darubini (Manuelrealiza © CC BY-SA 4.0) - Paralaksi
Mfano wa paralaksi: kutegemeana na mahali pa mtazamaji kiolwa kinachotazamiwa kitaonekana mbele ya sehemu ya buluu au ya nyekundu ya mandharinyuma yake (JustinWick © CC BY-SA 4.0 ) - Patasi (kundinyota)
Kundinyota Patasi (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Pembemraba (kundinyota)
Kundinyota Kipimapembe (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Pembetatu (kundinyota)
Kundinyota Pembetatu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Pembetatu ya Kusini (kundinyota)
Kundinyota Kipimapembe (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Rakisi (kundinyota)
Kiswahili: Kundinyota Rakisi (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Roketi
Roketi za Kirusi aina ya Soyuz-U, huko Baikonur, Kazakistani. (NASA © PD-NASA) - Roskosmos
Nembo (RKA © PD) - Saa (kundinyota)
Nyota za kundinyota Saa (Horologium ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Sagita (kundinyota)
Nyota za kundinyota Sagita (Sagitta) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Salibu
Salibu (Crux, Southern Cross) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Samaki (kundinyota)
Nyota za Samaki, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD) - Sayari
Sayari za mfumo wa Jua; ukubwa unaonyesha uwiano halisi kati ya sayari lakini umbali kati ya sayari hauonyeshwi. (Horst Frank © CC BY-SA 3.0) - Shaliaki (kundinyota)
Nyota za Shaliaki (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Shetri
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Shimo jeusi
Picha ya shimo jeusi kwenye kitovu cha Messier 87 (picha iliyounganishwa kutoka vipimo vingi) (Event Horizon Telescope © CC BY-SA 4.0) - Shuja (kundinyota)
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Simba (kundinyota)
Nyota za Simba, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Simba Mdogo) (Sidney Hall 1825 © PD) - Simba Mdogo (kundinyota)
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Spektra
Spektra ya mawimbi sumakuumeme; nuru tunaoona ni sehemu ya mawimbi haya (Kipala © CC BY-SA 4.0 ) - Spektra 2
Mistari ya ufyonzaji zinaonyesha elementi zilizopo kwenye chanzo cha nuru (Stkl © PD) - Sputnik 1
Sputnik: chombo cha kwanza kilichozunguka Dunia kwenye anga-nje (NASA © PD-NASA) - Sudusi (kundinyota)
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Tanga (kundinyota)
Kundinyota ya Tanga (Vela) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Tanuri (kundinyota)
Kundinyota Tanuri (Fornax) (CC BY-SA 4.1 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Tausi
Kundinyota ya Tausi (CC BY-SA 4.2 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Thumni (kundinyota)
Kundinyota ya Tumni (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Tinini (kundinyota)
Kundinyota ya Tinini (Draco) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Tukani (kundinyota)
Kundinyota Tukani (Tucana) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Twiga
Kundinyota Twiga (Camelopardalis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Ugasumaku
Ugasumaku wa Dunia ni kinga dhidi ya mnururisho mkali kutoka Jua (NASA © PD-NASA) - Ukabu (kundinyota)
: Kundinyota ya Ukabu (Aquila) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Ukanda wa asteroidi
Ukanda wa asteroidi baina ya obiti za Mirihi na Mshtarii (Mdf © PD) - Ukanda wa Kuiper
Ugawaji wa magimba ya ukanda wa Kuiper (nukta kijani) *Nyekundu = Jua *Buluu-kijani = Sayari jitu za gesi *Kijani = Ukanda wa Kuiper *Kichungwa = magimba mbalimbali yaliyotawanyika *Dhambarau = Watroia wa Mshtarii *Njano = Watroia wa Neptuni Namba zinadokeza umbali kwa AU ( © ) - Unajimu
Zodiaki ya Kiarabu (Max Planck Digital Library © PD) - Uranus
Sayari Uranus inavyoonekana na Voyager 2 (Kevin Gill from Los Angeles, CA, United States [CC BY-SA 2.0 (https://creativecommons.org/licenses/by-sa/2.0)] © CC BY-SA 2.0) - Usafiri wa anga-nje
Mwanaanga kazini pasipo na graviti kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (NASA © PD-NASA) - Utaridi
Sayari Utaridi (Mercury) (NASA/Johns Hopkins University Applied Physics Laboratory/Carnegie Institution of Washington PD © PD) - Valentina Tereshkova
Meja Valentina Tereshkova kutoka Urusi alikuwa mwanaanga wa kwanza wa kike (RIA Novosti archive, image #612748 / Alexander Mokletsov / © CC-BY-SA 3.0) - Venera
Venera 7: kifaa cha kwanza kilichotua kwenye uso wa sayari nyingine (Stanislav Kozlovskiy © CC BY-SA 4.0) - Vostok
vostok 1: chombo cha kwanza kilichompeleka mtu kwenye anga-nje (stempu ya Azerbaijan) (Kh. Mirzoyev./Azermarka © PD Azerbaijan) - Voyager 1
Voyager 1, chomboanga cha kwanza kilichotoka nje ya Mfumo wa Jua (NASA © PD-NASA) - Washaki (kundinyota)
: Kundinyota Washaki (Lynx) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Yuri Gagarin
Yuri Gagarin, mtu wa kwanza kwenye anga-nje (RIA Novosti © CC BY-SA 3.0 ) - Zohali
Zohali na pete zake, zilivyoonekana kwa kamera ya Voyager 2 (Voyager 2 PD © PD) - Zoraki (kundinyota)
Kundinyota Zoraki (Phoenix) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium) - Zuhura
Picha ya rada inaonyesha uso wa Zuhura (NASA © PD) - Zuhura
Mwonekano wa kawaida wa Zuhura; mawingu hufunika uso wake (NASA © PD)