Mirihi
sayari ya nne katika mfumo wa jua / From Wikipedia, the free encyclopedia
Ukitafuta mungu ya dini ya Roma ya Kale anayeitwa Mars kwa lugha ya Kiingereza tazama Mars (mungu)
Ukweli wa haraka Jina, Asili ya jina ...
Mirihi | |
---|---|
Picha ya Mirihi, jinsi ilivyopigwa na mamlaka ya anga-nje ya Falme za Kiarabu mnamo Agosti 2021. | |
Jina | |
Asili ya jina | Kar. المريخ (al-miriikh) |
Majina mengine | Murihi[1], sayari nyekundu Mars (Kng.) |
Alama | |
Tabia za njiamzingo | |
Umbali mfupi | km 206,650,000 au 1.3814 |
Umbali mrefu | km 249,261,000 au 1.66621 |
km 227939366 au 1.52368055 | |
Uduaradufu | 0.0934 |
siku 686.980 miaka 1.88085 | |
Mwinamo | 1.850° toka njia ya Jua |
Miezi | Fobo na Deimo |
Tabia za kimaumbile | |
km 3389.5 ± 0.2 | |
Tungamo | kg 6.4171×1023 |
g/cm3 3.9335 | |
Uvutano wa usoni | m/s2 3.72076 |
siku 1.02749125 | |
siku 1.025957 | |
Weupe | 0.25 (Bond) 0.170 (jiometri) |
Halijoto | K 213.15 (−60°C) |
Funga
Mirihi ni sayari ya nne katika Mfumo wa Jua. Hivyo ni sayari jirani ya Dunia iliyo sayari ya tatu.
Sura ya Mirihi inafanana zaidi na ile ya Dunia yetu kati ya sayari zote ilhali haina joto wala baridi kali mno.
Kutokana na rangi yake, iliyosababishwa na wingi wa kutu, imeitwa "sayari nyekundu".
Ina miezi miwili midogo inayoitwa Fobo na Deimo.