SikuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Siku ni muda wa saa 24 ambamo tunaona vipindi viwili: kile cha mwanga wa mchana na kile cha giza la usiku. Mabadiliko ya siku husababishwa na mzunguko wa dunia yetu kwenye mhimili wake. Hapa tunatazama upande wa mchana unaoangazwa na jua. Upande mwingine ni upande wa giza au usiku.
Siku ni muda wa saa 24 ambamo tunaona vipindi viwili: kile cha mwanga wa mchana na kile cha giza la usiku. Mabadiliko ya siku husababishwa na mzunguko wa dunia yetu kwenye mhimili wake. Hapa tunatazama upande wa mchana unaoangazwa na jua. Upande mwingine ni upande wa giza au usiku.