Saa
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Saa ni kipimo cha wakati. Si kipimo cha SI kamili kama ilivyo sekunde lakini ni kawaida kote duniani pia katika matumizi ya kisayansi.
Saa inagawiwa kwa dakika 60 na sekundi 3,600. Siku ina takriban masaa 24.
Asili ya hesabu hiyo ni katika utamaduni wa Sumeri na Misri ya Kale uliogawa mchana na pia usiku katika vipindi vya masaa 12.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.