NusukipenyoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Nusukipenyo au rediasi ni mstari unaonyoka kati ya kitovu cha duara na mzingo wake. Ni nusu ya urefu wa kipenyo. Duara na nusukipenyo (rediasi). Uhusiano kati ya mzingo na rediasi ni r = m 2 π {\displaystyle r={\frac {m}{2\pi }}}
Nusukipenyo au rediasi ni mstari unaonyoka kati ya kitovu cha duara na mzingo wake. Ni nusu ya urefu wa kipenyo. Duara na nusukipenyo (rediasi). Uhusiano kati ya mzingo na rediasi ni r = m 2 π {\displaystyle r={\frac {m}{2\pi }}}