Mzingo (jiometria)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mzingo ni mstari wa nje wa umbo la kijiometria kama vile duara, pembetatu au mstatili.
Katika fani ya astronomia mzingo au njia mzingo inataja pia obiti yaani njia ya gimba la angani kama sayari ya kuzunguka jua au mwezi kuzunguka sayari yake kwa sababu njia hii inafanana na mzinga wa duaradufu.