Pembetatu
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Pembetatu ni umbo bapa lenye pande tatu zisizonyoka na kukutana kwenye pembe tatu za kila kona.
Jumla ya kiwango cha pembe zote tatu ni nyuzi 180. Eneo la pembetatu ni nusu kitako mara kimo.
Pembe zatajwa kwa kawaida kwa herufi za kwanza katika alfabeti ya Kigiriki yaani alfa, beta na gamma.
Elimu inayoshughulia pembetatu ni jiometria na hsasa tawi la trigonometria.
Pembetatu hupangwa kufuatana na tabia za pande zao:
pandesawa | pacha | mshato |
Pembetatu hupangwa pia kufuatana na tabia za pembe zao:
mraba | butu | kali |
mshazari |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pembetatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.