Mazingira ya Yesu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mazingira ya Yesu ni jumla ya mambo ya kijiografia na ya kihistoria yaliotangulia au kuendana na maisha ya Yesu Kristo, akimuathiri kama binadamu katika namna yake ya kuwaza, kusema na kutenda.
Maelezo zaidi Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu, Mitazamo juu ya Yesu ...
Funga
Ni muhimu kuyajua ili kumuelewa zaidi mwenyewe, kazi yake na ujumbe wake.