Syria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Syria au Siria (kwa Kiarabu: سوريا au سورية ) ni nchi ya Mashariki ya Kati au Asia ya Magharibi.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Homat el Diyar "Walinzi wa nchi" | |||||
Mji mkuu | Dameski 33°30′ N 36°18′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Dameski | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali Rais Waziri mkuu |
Jamhuri Bashar al-Assad Muhammad Naji al-Otari | ||||
Uhuru Ilitangazwa (1) Ilitangazwa (2) Ilitambuliwa |
Septemba 19361 1 Januari 1944 17 Aprili 1946 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
185,180 km² (ya 89) 1.1 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
17,951,639 [1] (ya 54) 118.3/km² (101) | ||||
Fedha | Lira ya Shamu (SYP ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .sy | ||||
Kodi ya simu | +963
- | ||||
1 Mkataba kati ya Ufaransa na Syria ya 1936 haikutambuliwa awali na Ufaransa. |
Funga
Imepakana na Lebanon, Israel, Yordani, Iraq na Uturuki.
Kuna pwani kwenye bahari ya Mediteranea.
Nchi inatajwa pia kwa jina la "Shamu" katika maandiko ya Kiswahili, ingawa neno hili lamaanisha zaidi eneo la kihistoria ambalo lilikuwa kubwa kuliko Syria ya leo.